Jumamosi, 17 Desemba 2016

BELLE 9 AZINDUA WIMBO WAKE MPYA WA 'GIVE IT TO ME' USIKU HUU JIJINI DAR

 Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya, Abelnego Damian maarufu kama Belle 9 akizungumza wakati wa uzinduzi wa wimbo wake mpya uliofahamika kwa jina la  'Give It To Me' usiku huu. Kulia ni Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Hafla hii imefanyika usiku huu katika bustani ya Nyumba ya Mbunge huyo, Kawe jijini Dar.
 Mbunge Jimbo la Chalinze na Mdau wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ridhiwani Kikwete akizungumza machache ikiwemo na kumpongeza msanii huyo,katika hafla ya uzinduzi wa Video yake ya  wimbo mpya  uliofahamika kwa jina la  'Give It To Me'  Jijini Dar es salaam leo.
 Baadhi ya Wasanii mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo wakimpongeza msanii mwenzao Belle 9 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni