BINTI HUYU AMEKUTWA KWENYE NYUMBA YA WAPANGAJI AKIWA MDANI WAKATI WENYE NYUMBA WAKIWA WAMELALA NA MILANGO IMEFUNGWA ALIKOINGILIA HAIELEWEKI
WAKAZI WA MTAA WA MATARAWE MJINI NJOMBE WAKIWA WAMEFIKA KUMTAZAMA BINTI ALIYEKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUFANYA WANGA MARA BAADA YA KUFIKISHWA KWENYE OFISI YA MTAA WA MATARAWE KWA SASA UNAFAHAMIKA KAMA MTAA WA BUGURUNI.
HAPA NI BAADA YA POLISI KUFIKA SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI NA KUAMURU AVALISHWE NGUO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni