Alhamisi, 12 Machi 2015

PICHA 12 ZA HALI YA BARABARA YA MAKETE - NJOMBE ENEO LA IGAGALA NI AIBU, MAGARI YAZIDI KUKWAMA












Taarifa nilizozipata ni kuwa hiki kipande kipo Igagala wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe, na mbunge wake ni naibu waziri wa ujenzi Injinia Gerson Lwenge, sasa ni kwa nini pabovu namna hii? na mvua za masika bado zinaendelea je barabara hii itapitika kweli?

Kazi ipo kwa kweli wahusika oneni namna ya kutibu hili tatizo kabla halijawa kubwa zaidi ya hapa. (Picha zote na Edwin Moshi)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni