Haya ni Baadhi tuu ya Maeneo Jijini Mbeya
Mbeya yetu tulifanikiwa kupata Muonekano wa eneo hili la Jiji kama linavyo onekana
Mkazi wa Jiji La Mbeya unaweza Kutambua Maeneo haya?
Huu ni mwanzo tuu usikose kuona picha zaidi ya Jiji letu la Mbeya
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni