Mpekuzi blog
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Mwandosya amesema hii ni mara yake ya pili kuchukua fomu ya kugombea urais katika kinyang’anyiro chenye wagombea wengi.
Mpekuzi blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni