Jumatano, 3 Juni 2015

Msanii Salma Jabu ‘Nisha’ Abadili Jinsia Yake........Asema Aliamka Asubuhi na kujikuta Kawa Mwanaume!

Mpekuzi blog

Staa wa kike wa bongo Movies mwenye visa na vituko, Salma Jabu ‘Nisha’ amabaye kwa sasa anatamba sokoni na MTAA kwa MTAA  amewaaacha hoi mashabiki wake baada ya  kuwaeleza  kuwa  viongo  vyake  vimebadilika  na  sasa  sio  mwanamke  tena.

Nisha  aliuanika  ukweli  huo  kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram  ambapo  alitupia  picha  hii na  kuandika;  “Nimeamka nimejikuta nna mabadiliko mwilini”.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni