Jumatatu, 1 Juni 2015

  ASKOFU WA KANISA LA GOOD NEWS FOR     ALL GADI KUFANYA MAOMBI NCHINI INDIA


 Askofu wa Kanisa la Good News for all Ministry,Charles Gadi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ,juu ya maandalizi ya mkutano wa maombi nchini India,katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo ,kushoto ni katibu wa Palemo Massawe wa Kanisa la Good News for all na kulia ni mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe.


Mjumbe wa wa Kanisa la Good News for all Fabiani Msimbe, akifafanua jambo Mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuongezeka kwa joto Duniani na athari zake
  

Waandishi wa habari wakimsikiliza Askofu wa Kanisa la Good News for all Ministry,Charles Gadi hayupo pichani juu ya maandalizi  ya mkutano wa  maombi nchini India PICHA NA EMMENUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni