PROFESA MWANDOSYA AKITANGAZA NIA KWENYE VIWANJA VYA UKUMBI WA MKAPA SOKOMATOLA JIJINI MBEYA
Wafuasi wa Profesa Mwandosya wakiingia na mabango kwenye uwanja wa tukio |
Profesa Mwandosya pamoja na familia yake wakiwasili eneo la tukio |
Profesa Mwandosya pamoja na Mke wake wakipiga makofi mara baada ya kuwasili eneo la mkutano |
Mke wa Profesa Mwandosya Bi Lucy Mwandosya akiwasalimia wananchi |
Wananchi wakiwa wamefurika katika eneo la mkutano kumsikiliza Profesa Mwandosya akitangaza nia ya kugombea uraisi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni