PROFESA MWANDOSYA LIVE MUDA HUU UKUMBI WA MKAPA MBEYA
Viongozi wa kimila wakiwa katika eneo la mkutano kumsindikiza Profesa Mwandosya |
Mshereheshaji, Charles Mawakipesile akiendesha ratiba |
Makada ya Chama cha Mapinduzi wakimshangilia Profesa Mwandosya |
Profesa Mwandosya akionesha uzalendo kwa kutembea na wananchi kuelekea eneo la mkuatano |
Profesa Mwandosya akiwa kwenye maandamano |
Wananchi wakiwa wamejipanga kumpokea Profesa Mwandosya @http://mbeyayetu.blogspot.com/ |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni