Ijumaa, 1 Mei 2015

UZINDUZI WA MASAFA MAPYA YA RADIO UPLANDS FM ILIYOPO NJOMBE UMEFANYIKA TAREHE 26 APRIL 2015 KUTOKA MASAFA YA 88.9 KWENDA MASAFA YA 89.1 YANAYOTUMIKA KWA SASA


 AFISA HABARI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE AKIWA KATIKA UKUMBI WA TURBO KWENYE SHEREHE ZA KUZINDUA MASAFA MAPYA YA 89.1 UPLANDS FM  RADIO.
 MCHUNGAJI TWEVE AKISALIMIANA NA MKURUGENZI WA UPLANDS FM HAMPHRAY MILINGA PAMOJA NA KATIBU WA CCM MKOA WA NJOMBE HOSEA MPAGIKE MWENYE KOTI JEUSI NA MIWANI
 KAIM MKURUGENZI WA UPLANDS FM HAMIS HASSAN KASAPA  AKIZUNGUMZA

 ZOEZI LA UZINDUZI LIKIFANYIKA NA MKUU WA WILAYA  YA NJOMBE SARAH DUMBA



 HAWA NI WAFANYAKAZI  WA UPLANDS FM WALIOVAA TSHERT NYEUSI  LAKINI WA KUSHOTO MWENYE KOTI JEUSI NI MKURUGENZI MTENDAJI  WA UPLANDS FM JAMES SWALE

PILLY NYENJE MAARUFU KAMA  MAMA NYEUPE  MTANGAZAJI UPLANDS FM AKIWA MC KWENYE SHEREHE HIZO


 MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI.SARAH DUMBA AKIZUNGUMZA  NA WADAU MBALIMBALI KATIKA UKUMBI WA TURBO SIKU YA UZINDUZI WA MASAFA MAPYA YA 89.1 YALIYOZINDULIWA TAREHE 26 APRIL 2015.
 MENEJA NA MHARIRI MKUU WA UPLANDS FM RADI SUNDAY VAVUGA AKIWAKARIBISHA WAGENI
 ELMATHEW KIKA  AKIONGOZA SHEREHE HIZO ZA UZINDUZI WA MASAFA MAPYA YA UPLANDS FM RADIO YA 89.1
 AFISA HABARI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE LUKERO MSHAURA AKIZUNGUMZA AKIWA UKUMBI WA TURBO

 WASHINDI  WATATU KATIKA ZOEZI LA KUMTAFUTA MTANGAZAJI BORA AMBAYE ATASOME SHWA NA RADIO UPLANDS FM  LAKINI WOTE WATASOMESHWA NA WADAU MBALIMBALI IKIWEMO MMOJA ATASOMESHWA NA UPLANDS FM RADIO WA UPANDE WA KULIA  NA WA PILI KUTOKA KULIA  ATASOMESHWA NA KAMPUNI YA KASKAS NA WA TATU ATASOMESHWA NA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI  CHA NJOMBE ECROSS.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni