Na Gabriel Kilamlya Njombe
Tatizo la Watumishi wapya Katika Halmashauri Mbalimbali Kuripoti Kwenye Vituo Vya Kazi
na Kisha Kutoroka Limetajwa Kuisababishia Hasara Serikali Huku Kundi Kubwa la Watu
Likiendelea Kulalamika Kwa Kukosa Ajira.
Changamoto ya Miundombinu Duni zikiwemo nyumba za Watumishi Hao Zimetajwa kuwa
miongomi mwa Sababu Zinazosababisha wafanyakazi wengi kutopenda kufanyakazi katika
maeneo wanayopangiwa hasa vijijini.
Suala Hilo Limeibuliwa Leo na diwani wa kata ya makowo oygen mdete kwenye kikao cha
baraza la madiwa Katika Halmashauri ya Mji wa Njombe ambapo diwani huyo amewatupia
lawama wakuu wa idara ya afya kwa kuwapanga watumishi katika zahanati ya mamongolo na
Ambao Wamekuwa Wakiondoka Mara Kwa Mara na kuiacha zahanati ikibakia bila huduma.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wanjombe Edwini Mwanzinga na Diwani wa kata ya
Yakobi Esta Mgeni Licha ya kukubaliana na diwani wa kata ya makowo Lakini Wameshauri
wananchi Kushirikiana na Viongozi Katika kukarabati miundombinu Hiyo Wafanyakazi
wanaotoka mbali waweze Kustahimili Mazingira Hayo.
Kwa upande wao afisa utumishi wa halmashauri ya mji Wa njombe Malbert mbunjiro na
mganga mkuu david ntahindwa Wamekiri kuwa tatizo la
DKT. SHEIN AZINDUA MBIO ZA MWENGE MKOANI RUVUMA LEO
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akihotubia leo mjini Songea wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mbio
za Mwenge wa uhuru zilizofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya
Songea Profesa Norman Sigalla King(kulia) Mwenge wa Uhuru uhuru kwa
ajili ya kuanza mbio wilayani humo baada ya uzinduzi ulifanywa leo mjini
Songea na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dkt. Ali Mohamed Shein akihotubia leo mjini Songea.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge kwa mwaka 2015 Juma Khatibu Chum(kushoto) akimkabidhi
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(kulia) Mwenge wa uhuru leo
mjini Songea baada ya uzinduzi wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein (kushoto)akimkabidhi Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa Juma
Khatibu Chum (kulia) Mwenge wa uhuru leo mjini Songea baada ya uzinduzi
wa mbio hizo Kitaifa mkoani Ruvuma.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akiwasha Mwenge wa uhuru leo mjini Songea katika Uwanja wa
Majimaji ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge kwa
mwaka 2015. Picha na Frank Shija na Tiganya Vincent, Songea.
Tuesday, April 28, 2015
AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA TANZANIA DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MELI ZA KIVITA ZA JESHI LA WANAMAJI
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na makamanda wa meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Chifu Edward Wanzagi wa kabila la Wazanaki
(kati) pamoja na Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe Makongoro Nyerere baada
ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS
Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni
jijini Dar es salaam leo April 28, 2015
PICHA NA IKULU
SIKU YA MTOTO WA AFRIKA YATAKIWA KUCHANGIWA NJOMBE
Baadhi ya wadau walioshiriki kikao cha kwanza cha siku ya mtoto wa afrika katika Halmashauri ya Mji wa Njombe
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Wito Huo Umetolewa na Mratibu wa Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii Katika Halmashauri ya Mji wa Njombe Bwana Hosea Yusto Wakati Akizungumza na Wadau Mbalimbali Mkoani Njombe Katika Kikao Cha Kwanza Cha Maandalizi ya Siku Hizo.
Bwana Yusto Amesema Kuwa Halmashauri ya Mji wa
Monday, April 27, 2015
MASKANI MAPYA YA 89.1 UPLANDS FM RADIO toka Mjini Njombe Toka 88.9 ya Awali
Katikati ni Mmiliki wa
Mtandao Huu wa www.gabrielkilamlya.blogspot.com Bwana Gabriel Kilamlya
Akiwa na Watangazaji wa Kituo Hicho.
MKUU WA MKOA WA NJOMBE AZINDUA RASMI TUZO YA TAALUMA YA MKUU WA MKOA
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Akizindua Rasmi Tuzo ya Taaluma
ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Wakati wa Kilele Cha Wiki ya Elimu Mkoani
Njombe.
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Amepiga Marufuku Vyama Vya Siasa
Mkoani Njombe Kujihusisha Katika Kusaidia Kuchangia Tuzo ya Taalumu ya Mkuu wa
Mkoa wa Njombe na Badala Yake Wahusike Wadau Tofauti na Vyama Hivyo.
Kauli Hiyo Ameitoa Leo Wakati Akizindua Rasmi Tuzo ya
UTOAJI WA NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50YA MUUNGANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mkono na Bw.Damian Zefrini Lubuva baada ya kumvalisha Nishani
ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili katika hafla
iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam katika
kusherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimvalisha
nishani Bw.Aboud Talib Aboud wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya
kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu katika viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akivalisha
Nishani Bw,Mohammed Seif Khatibu wakati wa hafla ya kutunuku Nishani ya
kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la Tatu katika viwanja vya
Ikulu Jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni katika kusherehekea miaka 51 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Makamo wa Rais wa jamhuri ya Muungano Dk.Mohammed gharib Bilali pamoja
na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika
hafla ya sherehe ya utoaji wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano Daraja la Pili,Tatu na Nne jana katika viwanja vya Ikulu Jijini
Dares Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akimvalisha Cpl Laura Philip Mushi Nishani ya Ushupavu wakati wa
utoaji wa Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Madaraja mbali
mbali katika hafla iliyofanyika jana viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania wakisimama wakati
wimbo wa taifa ukipigwa baada ya kumalizika hafla ya sherehe ya utoaji
wa Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano Daraja la
UPLANDS FM RADIO TOKA NJOMBE YAZINDUA MASAFA MAPYA YA 89.1 toka 88.9
Team Uplands Fm Ikiwa Road Show April 26 Mwaka Huu Katika Uzinduzi wa Masafa Mapya ya 89.1
Washiriki Watano Waliobaki Toka 33 Katika Mashindano ya Kusaka Kijana Mwenye Kipaji Cha Utangazaji na Uandishi wa Habari Ambapo Washindi Watatu Wamepata Fursa ya Kupelekwa Chuo na Uplands Fm Radio,Kass Kass cOMPANY Ltd na Eckross Tourism and School Of Journalism College Chuo Kilichopo Mjini Njombe Katika Viwanja vya Sabasaba
Team Matajiri Wahuni Toka 89.1 uplands fm radio Njombe Wakiongozwa na Rais Wao wa Kwanza Kulia Dokta Joe.
Namna uzinduzi wa masafa mapya ya 89.1 Uplands fm radio toka 88.9 ya awali baada ya kubadilishiwa na TCRA Hapo April 18 Mwaka Huu na Uzinduzi Huo Umefanyika Aprili 26 Mwaka Huu Kwa Kupita Katika Mitaa ya Hagafilo,Kambalage,Mjimwema,Melinze,Matalawe Chaugingi,Kibena,Mgendela,Ramadhani na Mpechi na Baadaye Usiku Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akazindua Rasmi Masafa Hayo Katika Ukumbi wa Turbo Mjini Njombe.
Subscribe to:
Posts (Atom)
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU KUPITIA SIMU No.0766867878,0654199935,0684199935
KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO KWA BEI NAFUU NA MTANDAO HUU
SIKILIZA UPLANDS FM ON LINE
<iframe><br
/><a href="http://www.ustream.tv/" style="padding: 2px 0px 4px;
width: 50px; background: #ffffff; display: block; color: #000000;
font-weight: normal; font-size: 5px; text-decoration: underline;
text-align: center;" target="_blank">Live broadcast by
Ustream</a>
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni