Mtangazaji anayejulikana almaarufu kama Fredwaa kutoka Radio Free Africa, sasa yu ndani ya mjengo wa Radio Clouds kipindi cha Power Breakfast, akiungana na Mbwiga, Gerald Hando, Boonge na Barba Hassan. Mtangazaji huyu alijizolea umaarufu katika kipindi chake cha asubuhi pale RFA, ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa na segment inaitwa Vodacom Top 5…
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni