Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh. Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimjulia
hali Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mh. Dkt. Henry Mwijarubi aliyelazwa kwa matibabu katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni