Kigwangalla akisimikwa utemi wa
Makaranga Ng'wana Ng'washi.
|
Kigwangalla akivalishwa scarf na
scouts
|
·
Historia fupi: Mimi ni Mtemi wa kurithi kutoka kwa
Babu yangu Chief Lumola Bakari Maulid, ambaye alikuwa Mtemi wa Usaguzi, maeneo
ya Mwegelezi, kule Kaliua. Mwaka 2010, mjukuu wa Mtemi Makaranga Ng'wana Ng'washi
alinitawaza kuwa Mtemi wa Lusu, ambao ni utemi wake wa asili wa kurithi. Juzi
tarehe 4 Oktoba nilipata heshima nyingine mbili: Mtemi wa Sungusungu wote wa
wilaya ya Nzega, heshima niliyopewa na viongozi wa Sungusungu wenyewe, na
nilitawazwa kuwa Mtemi wa Puge, Ibhambangulu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni