RPC Ahmed Msangi akizungumza na waandishi wa habari
RPC Ahmed Msangi
Mbunge wa MBEYA mjini Joseph Mbilinyi, Sugu akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu nia ya chama hicho kumtaka RPC Ahmed Msangi ajiuzulu
wadhifa wake kwa kile alichodai kuwa ana nia mbaya na wafuasi wa CHADEMA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni