Jumapili, 10 Agosti 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI NYANDA ZA JUU KUSINI NA KUENDESHA KONGAMANO

Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akifungua kongamano la Uwekezaji Nyanda za Juu kusini na kuendesha kongamano katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya 
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Mark Mwandosya akizungumza katika kongamano hilo juu ya wakekezaji wadogowadogo

Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Mary Nagu akimkaribisha waziri mkuu Mizengo Pinda kufungua kongamano la uwekezaji Nyanda za juu kusini

Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akisoma taarifa fupi ya uwekezaji wa mkoa wa Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma akisoma  taarifa fupi ya mkoa wa Iringa juu ya uwekezaji

Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akisoma taarifa ya uwekezaji mkoa wa Njombe

Wakuu wa wilaya katika semina hiyo

Wawekezaji toka mikoa Mbalimbali hapa nchini wamehuduria kongamano hilo








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni