Mtangazaji
wa michezo wa E FM 93.7 Maulid Kitenge akiwa na Gwiji wa zamani wa Real
Madrid Luis Figo alipowasili usiku huu jijini Dar es salaam na
wachezaji wenzie nyota wa zamani wa timu hiyo ya Hispania ambayo
Jumamosi itakipiga na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye mchezo wa
kimataifa wa kirafiki uwanja wa Taifa
You might also like:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni