Kushoto ni Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe Hamis Kasapa, Katikati ni Allan Lawa Meneja Maadili Baraza la Habari Tanzania
Wa kwanza kushoto, Gabriel Kilamlya (Mtunza Hazina Msaidizi NPC) na kulia ni Aldo Sanga ambaye ni mjumbe wa kamati tendaji kutoka Makete.
Zenobia Mtei na Michael Katona Wajumbe wa kamati ya NPC.
Katibu Msaidizi wa NPC, Lilian Mkusa kutoka Shirika la Daraja.
Wanahabari na Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye semina ya siku moja kutoka Baraza la Habari Tanzania MCT Mjini Njombe
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni