BAADA ya maandalizi ya takribani wiki tatu, hatimaye Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kesho inatarajia kufungua pazia la mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kukipiga dhidi ya African Lyon, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam saa 10.00 jioni.
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohammed, akifumua shuti wakati wa mazoezi hayo
Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi ya kusafa wakati wa mazoezi hayo.
Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi ya kusafa wakati wa mazoezi hayo.
Kipa wa Azam FC, Aishi Manula, akiokoa mchomo kwenye mazoezi ya timu hiyo.
Beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, akimiliki mpira mbele ya Abdallah Kheri, wakati wa mazoezi ya mwisho ya timu hiyo leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam dhidi African Lyon kesho Jumapili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni