Ijumaa, 21 Agosti 2015

Wagombea Rasmi wa Urais ni 8 Tu, Wengine Wahawajakidhi Vigezo Hivyo Wamekataliwa

WAGOMBEA RASMI WA URAIS NI 8 TU, WENGINE HAWAJAKIDHI VIGEZO.

Hatimaye katika vyama 12 vilivyochukua fomu za kugombea urais, ni vyama 8 tu ambavyo wagombea wake wamekidhi vigezo vya kugombea urais mwaka huu Tanzania. Vyama hivyo ni
CCM, CHADEMA, TLD, ADC, CHAUMA, ACT- WAZALENDO, NRA na UPDP.
Wagombea hao 8 na vyama vyao ni
1. John Magufuli (CCM)
2. Edward Lowassa (CHADEMA)
2. Anna Mghwira (ACT)
4. Fahmi Dovutwa (UPDP)
5. Chifu Lutalosa Yemba (ADC)
6. Janken Kasambala (NRA)
7. Hashim Rungwe (CHAUMA)
8. macmillan lyimo (TLP)
Wagombea wa vyama vitatu hawajakidhi vigezo vya kugombea urais wa Tanzania, vyama hivyo ni CCK, DP , TADEA.. Chama cha AFP chenyewe hakijafika kabisa katika ofisi za NEC kuleta fomu zake.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni