Waziri Lazaro Nyalandu alivyopokelewa Singida na kuitangaza safari
yake kwenye Urais wa TZ !!
Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania nae kaingia kwenye headlines za wale waliosogea hatua moja mbele, jana June 6 2015 kasogea Singida.. lengo ilikuwa kuongea na Watanzania rasmi kwamba ameianza safari kuelekea Ikulu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni