WANANCHI WAKISEREBUKA USIKU
WA TWENDE NA MEMBE MJINI LINDI
Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni