Jumapili, 14 Juni 2015

TAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA MISRI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku wa kuamkia leo mjini Alexandria.
Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.(P.T)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni