Gari dogo la kampuni ya Cement ya Lafarge likiwa ndani ya mto sisimba mita chache kutoka stendi kuu ya mabasi jijini mbeya ambapo inadaiwa kuwa dereva wa gari hilo alikuwa katika harakati za kukwepa mabasi yanayokwenda mikoani na kutumbukia mtoni june 3 mwaka huu majira ya saa 12 asubuhi.picha E.Madafa |
|
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni