WAANDISHI WA HABARI WA JIJINI MBEYA WAMJULIA HALI , MWANDISHI MWENZAO EZEKIEL KAMANGA ALIYEPATA AJALI HIVI KARIBUNI.
Kutoka kulia ni Joackim Nyambo, Venance Matinya, Ester Macha na Mzee Mwakilili wakiwa wanamjulia Hali Mzee Kamanga katika Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya.
Msimamizi wa Libeneke la Mwalafyale leo akimjulia hali Ezekiel Kamanga
Solomon Mwansele na Brandy Nelson wakiwa wanamjulia hali Mzee Kamanga
Waandishi wa Habari wakiwa wanaondoka Hospitalini hapo Baada ya kumjulia hali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni