Jumamosi, 30 Mei 2015

P-square wamerudi tena kwenye headlines za leo na ngoma
 yao mpya ya Afro-pop ndani yake ameshirikishwa mkongwe 
wa Muziki wa Congo Awilo Longomba. Nyimbo 
inaitwa“Enemy Solo”. 
Video imetengenezwa Vtek na kusimamiwa na Clarence 
Peters wa Nigeria, ndani yake kuna Team ya Awilo 
Longomba na Team ya P-square .
Kuicheki video hio bonyeza play hapa chini mtu wangu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni