NAIBU Waziri wa Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana (aliyeketi) akimtazama Afisa Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Zainabu Kafungu wakati alipokuwa akionyesha namna wizi unavyofanywa na wafanyabiashara wanaotumia mzani kuuza bidhaa zao dukani. Picha zote na Nyanda za Juu
Afisa Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Zainabu Kafungu akiwaonyesha wanawake wanachama wa Chama cha Mapinduzi namna wizi unavyofanywa na wafanyabiashara wasio waaminifu katika kuuza bidhaa kwa kutumia mzani wakati alipotoa mafunzo hayo mjini Njombe jana.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Njombe, Edward Mgaya akizungumza na wanawake wanachama wa CCM (hawako pichani), Kulia ni Naibu Waziri wa Jinsia na Watoto, Dk. Pindi Chana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni