BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU LAMECK NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE
BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU LAMECK NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi ambaye anachukua nafasi yake. Taarifa kamili soma hapo chini:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni