Alhamisi, 19 Machi 2015

MADAKTARI VIJANA WAHIMIZWA KUBOBEA KATIKA TIBA YA MAGONJWA YA NGOZI

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:

counter
 Mmoja wa waratibu wa Semina ya madaktari kuhusu magonjwa ya ngozi, Jesinta Mboneko, akimkaribisha mmoja wa washiriki hiyo, Muuguzi katika hospitali ya Mbezi Medical Clinic inayojishughulisha na magonjwa hayo, Sarah Nyabhenda, kwenye ukumbi wa semina hiyo katika hoteli ya Protea Cortyard, Upanga jijini Dar es Salaam, jana jioni.
 Baadhi ya washiriki wakianza kuingia kwenye semina hiyo
 Mkuu wa Idara Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili (MUHAS), Dk. Denis Russa akiwakaribisha washiriki kwa ajili ya kuanza rasmi semina hiyo
 Mratibu Kiongozi wa semina hiyo, Mkurugenzi wa Mbezi Medical Clinic, Dk. Venant Mboneko akitoa maneno ya utangulizi kabla ya mtaalam wa magonjwa ya ngozi, kuanza kutoa mada kwenye semina hiyo
  Dk. Ranindra Babu kutoka nchini India, akitoa mada kuhusu maradhi ya ngozi yalivyo na tiba zake, wakati wa semina hiyo ya madaktari kuhusu ugonjwa huo, kwenye hoteli ya Protea Cortyard jijini Dar es Salaam, jana

 Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika Mkurugenzi (katikati) kutoka wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. akifuatilia mada wakati Dk. Babu akiendelea kuelezea kwa kina
 Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada

 Mratibu wa semina hiyo, Jesinta Mboneko akifuatilia hali ya mambo kwenye semina hiyo
 Mgeni rasmi katika semina hiyo, Dk. Neema Rusibamanyika kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza baada ya kumsikiliza mtoa mada. Dk. Neema amewashauri madaktari vijana, kubobea pia katika kutibu magonjwa ya ngozi kwa sababu licha ya kwamba si miongoni kwa magojwa yanayotishia uhai wa binadamu kwa kiwango kikubwa lakini yana madhara mabaya sana kwa binadamu. Amesema, madaktari wengi hawakimbiliii kujiunga na fani ya tiba ya magonjwa ya ngozi kwa kudhani pengine si muhimu sana kuliko magonjwa mengine ndiyo sababu madaktari waliobobea katika tiba hiyo ni wachache ikilinganishwa na walioko kwenye tiba ya magonjwa mengine.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni