Jumatano, 18 Machi 2015

EWURA na ishu ya umeme kukatika

EWURA na ishu ya umeme kukatika.. Polisi na aliyemzushia kifo mama Maria Nyerere je? #PB @CloudsFM

Manzese
Kuna stori ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuzindua ndege nyepesi kwa ajili ya kupambana na majangili, Polisi Tunduma kupambana na watu wanaotaka kufanya maandamano, Mbunge Zitto Kabwe kuingia Bungeni leo, Jeshi la Polisi na taarifa za mtu aliyemzushia kifo Mama Maria Nyerere na wakazi wa mabondeni Dar kutakiwa kuhama kutokana na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha.
Kuna mazungumzo utayasikia hapa, Ofisa Mawasiliano wa EWURA Titus Kaguo anazungumzia kuhusu ishu ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Tz.
104.1 Clouds FM inasikika ukiwa Bukoba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni