Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia March 28.
Abdul Bonge enzi za uhai wake
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na eddy blog kwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni