


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Kalenga kwenye kichuguu ambacho Chifu Mkwawa alikuwa anahutubia watu wake.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kalenga ambapo aliwaambia kuwa Kilimo kwanza kimeleta sana faida kwa wakulima wamelima na kufanikiwa lakini tatizo linalowakabili sasa ni soko la mazao yao .

Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi kutoka kwa wanachama wa Chadema walioamua kurudi CCM.
Katibu Muuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi za wanachama waliotoka upinzani na kurudi CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha bendera na kofia za Chadema zilizorudishwa na wanachama waliojiunga CCM
Katibu Mkuu wa CCM akikabidhi kadi kwa wanachama wapya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni