Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozanana
viongozi wa CCM mkoa wa Iringa Kulia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca
Msambatavangu na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga. mara baada ya kuwasili mkoani Iringa asubuhi hii.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi
mara baada ya kuwasili mkoani Iringa, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,
Itikadi na Uenezi na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan
Mtenga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kilolo Mh.Prof. Peter Msola
mara baada ya kuwasili mkoani Iringa asubuhi hii tayari kwa kuendelea na ziara
yake mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca
Msambatavangu akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman kinana
ili awasalimie wananchi, kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,
Itikadi na Uenezi na Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Hassan Mtenga.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwasilimia wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana akimsikiliza mara baada ya kuwasili mkoani Iringa mkulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca
Msambatavangu
Mbunge wa jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi, Kamanda wa vijana mkoa wa Iringa Ndugu Salim Abri Asas na mkuu wa mkoa wa Iringa Dk Christine Ishengoma
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani
,wakati akitoa shukurani zake kwa waliojitolea kukarabati ofisi hiyo
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza mwenyekiti wa CCM Iringa akizungumza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni