Jumamosi, 16 Agosti 2014

SAFINA YAWAPA MAFUNZO WATENDAJI NA VIONGOZI MBALIMBALI WA KATA WILAYANI NJOMBE


Baadhi ya viongozi na Ofisa Watendaji wa Kata mbalimbali kutoka wilayani Njombe mkoani Njombe wakiwa kwenye mafunzo ya Haki na Wanawake katika kumiliki Ardhi iliyofanyika katika ofisi za Tarafa ya Lupembe wilayani Njombe hivi karibuni.




Mwenyekiti wa SAFINA WOMEN ASSOCIATION akizungumza wakati wa uzinduzi wa semina ya mafuno ya Haki na Wanawake katika kumiliki ardhi iliyofanyika katika Tarafa ya Lupembe mkoani Njombe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni