Jumapili, 7 Juni 2015


Urais 2015: Benard Membe Kutangaza Nia 
Ya Kugombea Urais Leo Saa Sita Mchana

Mpekuzi blog

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe leo anatarajia kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ateuliwe kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mpekuzi blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni