Najua stori hii imechukua uzito wake mitaani kwenye ishu ya burudani ya muziki TZ na East Africa… Washindi tayari wamefahamika jana usiku June 13 2015 pale Mlimani City.
Hii ndio List kamili ya Washindi wote mtu wangu.
Mdau wa Muziki aliyefanikisha Maendeleo ya Muziki (Hall of Fame)- Marehemu Kapt. John Komba
Kikundi Bora cha Mwaka (Bongo Fleva)- Yamoto Band
Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab
Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia
Wimbo Bora wa kushikishwa/ Kushirikiana- Kiboko Yangu (Mwana FA Feat. Ali Kiba)
Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia- Barakah Da’ Prince
Wimbo Bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania- ‘Waite’ (Mrisho Mpoto)
Wimbo Bora wa Zouk/ Rhumba- ‘Nitampata Wapi’ (Diamond Platnumz)
Wimbo Bora wa Afro Pop- ‘Mwana’ (Ali Kiba)
Video Bora ya Muziki ya Mwaka- ‘Mdogo Mdogo’ (Diamond Platnumz)
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Bendi)- Amoroso
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Taarab) – Enrico
Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka (Bongo Fleva) – Nahreel
Mtunzi Bora wa mwaka Hip Hop- Joh Makini
Mtunzi Bora wa Mwaka (Bendi) – Jose Mara
Mtunzi Bora wa Mwaka (Bongo Fleva) – Ali Kiba
Mtunzi Bora wa Mwaka (Taarab) – Mzee Yusuph
Wimbo Bora wa Afrika Mashariki – Sura Yako (Sauti Sol)
Msanii Bora wa Hip Hop- Joh Makini
Rapa Bora wa mwaka (Bendi) – Ferguson
Wimbo Bora wa Reggae/ Dancehall – Let Them Know (Maua Sama)
Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia (Prof. Jay Feat. Diamond)
Wimbo Bora wa R&B- Sisikii (Jux)
Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi)- Walewale (FM Academia)
Wimbo Bora wa Mwaka – Mwana (Ali Kiba)
Wimbo Bora wa mwaka (Taarab) – Mapenzi Hayana Dhamana (Isha Mashauzi)
Mwimbaji Bora wa Kike (Bongo Fleva)- Vanessa Mdee
Mwimbaji Bora wa Kike (Taarab)- Isha Mashauzi
Mwimbaji Bora wa Kiume (Taarab)- Mzee Yusuph
Mtumbuizaji Bora wa muziki wa mwaka wa Kike- Vanessa Mdee
Mtumbuizaji Bora wa muziki wa mwaka wa Kiume- Ali Kiba
Red Carpet ilianza na mastaa.. Hapa nina pichaz zao tano.
Pichaz nyingine wakati zinapokelewa Tuzo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni