Jumamosi, 6 Juni 2015

Makalio ya Agness Masogange Yasababisha Ajali

Mpekuzi blog

Lile kalio la haja la muuza nyago maarufu kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ limesababisha ajali kati ya bodaboda na Bajaj maeneo ya Sinza-Mori baada ya mrembo huyo kushuka kwenye gari akielekea saluni.

Shuhuda wa tukio hilo alisema kuwa bodaboda ilikuwa ikitokea upande wa Baa ya Meeda na Bajaj ilikuwa ikitokea upande mwingine ambapo muendesha bodaboda alitumia muda mwingi akimtazama Masogange aliyekuwa akikatiza huku akilitingisha wowowo ndipo jamaa huyo akasababisha ajali.
Shuhuda huyo alizidi kuweka wazi kuwa baada ya ajali hiyo kutokea, watu walikusanyika kitendo ambacho hata Masogange kilimshtua na kumfanya asimame kuangali tukio hilo.
 
Hata hivyo, shuhuda huyo alisema madereva hao walielewana na kuyamaliza palepale.
 
Mpekuzi blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni