Jumamosi, 30 Mei 2015

SERIKALI YATANGAZA KIAMA KWA SHILOLE...NI KUHUSU PICHA CHAFU ZA UBELJIJI

Serikali imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji. Akizungumza bungeni Dodoma leo, Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, wakati akijibu hoja za wabunge baada ya kusoma makadirio na matumizi wa wizara hiyo, alisema tayari serikali imeliagiza baraza la sanaa taifa BASATA kufanya naye mahojiano.  Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia  “Tumemtaka ajieleze kupitia BASATA, akishajieleza serikali itachukua hatua na niombe mheshimiwa spika kupitia bunge lako tufuku,...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni