KALI YA MWAKA: WANANCHI WILAYANI MAKETE WAMCHINJA DUMA NA KUMLA NYAMA, ANGALIA PICHA
Mmoja kajipatia mnofu saaafi wa duma
Wakimchuna ngozi
wakifurahia nyama ya duma
Wananchi wa wilaya ya Makete mkoani Njombe wakifurahia nyama ya duma aliyeuawa kijiji cha Lupombwe wilayani hapo, ambapo walikwenda kuipika na kuila.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni