SHEREHE YA KUMPONGEZA MISS MAUREEN MKOANI NJOMBE ILIVYOFANA SIKU YA IDD
AFUA SUREIMAN KUTOKA EAST AFRICA MELODY AKIWAPAGAWISHA WAPENZI WA MUZIKI HUO
MARIA ITALA, MAMA YAKE MISS NYANDA ZA JUU KUSINI
MOUREEN GODFREY
MOUREEN GODFREY MISS NYANDA ZA JUU KUSINI
WATAMAJI WALIOFIKA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA KUMPONGEZA MAUREEN KWENYE UKUMBI WA TURBO MJINI NJOMBE
MWIMBAJI AFUA SULEMAN KUTOKA KUNDI LA EAST AFRICA MORDEN TAARABU (KULIA) AKIWA NA KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE SARAH DUMBA (KATIKATIKA) NA MUIMBAJI MKONGWE WA MUZIKI WA TAARABU BI. SHAKIRA.
BURUDANI YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WA MUZIKI WA TAARAB
MHARIRI WA GAZETI LA DARAJA LETU ROBERT ZEPHANIA (KULIA) AKIWA NDANI YA UKUMBI WA TURBO KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDD NA WANAMUZIKI WA TAARABU
WAPENZI WA MUZIKI WAKIBURUDIKA
HUYU NDIYE MUIMBAJI MKONGWE WA MUZIKI WA TAARABU NCHINI BI.SHAKIRA AKITUMBUIZA NKATIKA UKUMBI WA TURBO MJINI NJOMB
MUIMBAJI WA MUZIKI WA TAARABU KUTOKA KUNDI LA MODERN TAARABU AFUA SUREIMAN AKIWA AMEONGOZANA NA MUIMBAJI MKONGWE WA MUZIKI HUO
KAIM MKUU WA MKOA WA NJOMBE AMBAE NI MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI.SARAH DUMBA AKIZUNGUMZA
MASHABIKI NA WAPENZI MBALIMBALI WALIFURIKA TURBO
it was nice
JibuFutait was nice
JibuFuta